Naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii, Daktari Seif
Rashid utepe ikiwa ishara ya uzinduzi wa wodi ya watoto ya hospitali ya rufaa ya
mkoa wa Morogoro baada ya benki CRDB kufanya ukarabati na kughalimu kiasi cha
fedha sh50 Milioni mkoani Morogoro.
Mandhali ya wodi ya watoto katika hospitali
hiyo kama inayoonekana baadhi ya vitanda.

Rashid (katikati) Mkurugenzimkuu wa benki ya CRDB Dr Charles Kimei kulia na mkurunzi
wa benki hiyo mkoa wa Morogoro, Pendo Assey wakati wakielekea kumsindikiza naibu
waziri kuzidnua wodi hiyo ya watoto.

Suwed Rashid kulia akishirikiana na Mkurugenzi Mkuu benki ya CRDB, Daktari
Charles Kimei kushoto kutundika chandarua kwenye kitanda katika wodi ya
watoto.
Wadau wa benki ya CRDB nao wakishiriki katika
tukio la kutandika vitanda na kutundika chandarua katika vitanda vya wodi
hiyo.
Hapa Daktari Rashid akisoma hutuba mara baada ya kuzindua wodi hiyo iliyoambatana na upandaji wa miti ndani ya hospitali hiyo, kushoto ni Mkurugenzimkuu wa benki ya CRDB Dr Charles Kimei kulia na kulia ni
Mkurugenzi wa benki hiyo mkoa wa Morogoro, Pendo Assey.
Mkurugenzi mkuu wa benki ya CRDB Dr Charles Kimei akizungumza jambo
katika shughuli hiyo, kutoka kushoto ni Meya wa Manispaa ya Morogoro Amir Nondo
na kutoka kulia ni Mkuu wa wilaya ya Morogoro Said Amanzi, Mkurugenzi wa benki
hiyo mkoa wa Morogoro, Pendo Assey na naibu waziri Daktari Rashid.
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Said
Amanzi akizungumzaa jambo kwenye uzinduzi huo, kutoka kushoto
ni Dr Charles Kimei, naibu waziri Daktari
Rashid na Mkurugenzi wa benki ya mkoa wa Morogoro, Assey
Mganga mkuu wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa
Morogoro Godfrey Mtei kushoto akifurahia jambo na Dr Charles Kimei mara baada ya kumalizika kwa shughuli za
uzinduzi wa wodi hiyo.
Naibu waziri wa afya na ustawi wa
jamii Dr Rashid kushoto akisikiliza jambo kutoka kwa mmiliki
wa mabasi ya Hood, Mohamed Hood mara baada ya hafla hiyo
kumalizika.
Naibu waziri wa afya na ustawi wa
jamii Dr Rashid akiteta
na Mganga mkuu wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro
Dogfrey Mtei
Sehemu ya viongozi mbalimbali wa hospitali
hiyo, serikali na dini wakifuatilia matukio yaliyokuwa
yakiendelea.
Hapa wageni waalikwa wakiwemo na wauguzi wa
hospitali hiyo nao wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea.
Picha ya pamoja viongozi wa serikali na
wafanyakazi wa beki hiyo.

Post a Comment