Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na
Mafunzo ya Amali, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika
Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi,( kushoto) Makamo
wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali
mbali katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,wakiwa katika ukumbi
wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha utekelezaji wa Kazi
za Wizara hiyo, kilichofanyika jana chini mwenyekiti Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali
mbali katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,wakiwa katika ukumbi
wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha utekelezaji wa Kazi
za Wizara hiyo, kilichofanyika jana chini mwenyekiti Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Post a Comment