Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mtendaji Mkuu
wa Shirika la Millenium Challenge Cooperation(MCC) la Marekani Daniel
Yohannes,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,akiwa na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati)akizungumza na
Mtendaji Mkuu wa Shirika la Millenium Challenge Cooperation(MCC) la
Marekani Daniel Yohannes,akiwa na ujumbe wake akiwemo Balozi wa
Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt, walipofika Ikulu Mjini
Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) akizungumza na Uongozi
wa Wizara ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika,katika
utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini
Zanzibar.
Baadhi ya Watendaji na maafisa wa
Idara mbali mbali katika Wizara ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na
Ushirika, wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika
kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa
katika mpangilio wa Rais, kuzungumzia utekelezaji wa kazi za kila
Wizara.Picha na RamadhanOthman,Ikulu.
Post a Comment