Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HUU HAPA UTABIRI WA HALI YA HEWA WA LEO APRIL 10 JUMATANO



WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 10/04/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mkoa wa Morogoro Kusini (Mahenge]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo Katika
baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua

[Mikoa ya Mbeya Rukwa na Iringa]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mkoa wa Mrogoro Kaskazini]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi ,mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mkoa wa Ruvuma]:
Hali ya mawingu kiasi na mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

ANGALIZO: Vipindi vifupi vya mvua kubwa vinatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya Magharibi na kati ya nchi,Nyanda za Juu Kaskazini-Mashariki, Nyanda za Juu Kusini
Magharibi,MorogoroKaskazini, Pwani ya Kaskazini pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C
12:44
D'SALAAM
33°C
12:33
DODOMA
28°C
12:47
KIGOMA
29°C
01:11
MBEYA
25°C
12:56
MWANZA
27°C
12:58
TABORA
28°C
12:59
TANGA
31°C
12:34
ZANZIBAR
31°C
12:33
PEMBA
31°C
12:29
MOROGORO
30°C
12:35
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi yakm 30 kwa saa;kutoka Kusinikwa Pwani ya Kaskazini na kutokaKaskazini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari:Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumatano 10/04/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 10/04/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top