

Bango linaloonyesha yalipo mabanda ya nchi mbalimbali zinazoshiriki maonyesho ya COTMM 2013 jijini Beijing nchini China |


Mwenyekiti ya Bodi ya Utalii Balozi Charles Sanga (wa kwanza kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi wakitoa taarifa za vivutio vya utalii kwa mmoja wa wageni waliotembelea banda la Tanzania katika maonyesho hayo |
Post a Comment