Katika Picha ni baadhi ya waheshimiwa Wabunge waliochangia mjadala wa kupitisha Makadirio na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa mwaka wa Fedha 2013/14 Mjini Dodoma.
Mbunge wa Mwibara Mhe. Kangi Lugola, akiomba Mwongozo kwa Spika Bungeni.
Mbunge wa Ukerewe Mhe. Salvatory Machemli akichangia Mjadala Bungeni leo.
Mbunge wa Viti Maalum (CUF) Mhe. Kuruthum Mchuchuli akichangia kwa hisia mjadala leo Bungeni.
Mbunge wa Temeke Mhe. Abbas Mtembu akichangia Mjadala.
Waziri Mkuu Msaafu Mhe. Edward Lowasa akifuatilia kwa makini Mijadala Bungeni leo.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na teknolojia Mhe. January Makamba akijibu baadhi ya hoja zilizochangiwa Bungeni leo.
Mhe. Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) akichangia Mjadala leo. Picha Zote na Picha na Ofisi ya Bunge
Post a Comment