Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
-
-
Alfajiri1 month ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Wafanyakazi
wa Kampuni ya ndege ya fastjet wakiwa na vifaa mbalimbali msaada wa wa
kibinadamu ikiwa ni pamoja na vitabu vya shule, vinywaji na vyakula
vilivyotolewa katika kituo cha watoto yatima cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza
Mori Kinondoni jijini Dar es salaam wakati wa pasaka, vifaa hivyo vilipokelewa
na Hassan Khamis katikati Katibu wa CHAKUWAMA(aliyevaa shati la
bluu)

Post a Comment