Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj
Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiungana na waumini wa dini ya Kiislamu na
Wananchi,katika kumuombe dua kwa Kisomo cha Hitma iliyosomwa leo katika Ukumbi
wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,wakiwemo Rais wa Tanzania Alhaj Dk.Jakaya
Mrisho Kikwete,(wa pili kushoto).Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akiweka shada la mauwa katika kaburi la
Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume,wakati wa Hitma na
Dua iliyoombwa na wananchi wa Zanzibar huko Kisiwandui Mjini Zanzibar leo.
[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.
Alfajiri
2 hours ago
Post a Comment