Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KATIBU MKUU WA CCM, KINANA AZINDUA VISIMA 23 VYA MAJI MOROGORO

1
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdurahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji Bi. Diana Salum mkazi wa Kata ya Kilongo Manispaa ya Morogoro baada ya kuzindua moja ya visima 23 virefu vya maji vilivyochimbwa na mbunge wa jimbo hilo Mohammed Aziz Abood,2
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdurahman Kinana akifungua bomba la maji mara baada ya kuzindua kisima hicho leo. 3
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdurahman Kinana akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa kisima cha maji katika kata ya Kilongo Manispaa ya Morogoro, kulia ni Mohammed Aziz Abood Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini na kushoto ni mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro 5
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdurahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Kata ya Kilongo. 6
Moja wa visima vya maji vilivozinduliwa leo hiki ni cha kata ya Kilongo
7
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdurahman Kinana akizungumza na wananchi katika kata ya Kilongo kushoto ni Mbunge wa Morogoro Mjini Mohammed Aziz Abood 8
wananchi wakiwa wamekusanyika kushuhudia uzinduzi huo. 9
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdurahman Kinana akifungua bomba la maji mara baada ya kufungua kisima cha maji katika kata ya Kichangani, kulia ni Mbunge wa Morogoro Mjini Mohammed Aziz Abood.
(credits: Fullshangweblog)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top