Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mwasisi namba moja
akichanganya udongo wa taifa la Zanzibar na Tanganyika uliopelekea kuudwa kwa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzani
Hayati
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Hayati Abeid Aman Karume waasisi wa
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliounda Taifa la Tanzania wakisaini
makubaliano ya kuundwa kwa taifa moja ambalo kwa sasa linaitwa
Tanzania
Hayati
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Hayati Abeid Aman Karume waasisi wa
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliounda Taifa la
Tanzania
Hayati
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mwasisi namba moja na Hayati Abeid Aman Karume
Mwasisi namba mbili wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuunda Taifa la
Tanzania walipokuwa wakiunda muungano wa nchi mbili.
Hayati
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mwasisi namba moja na Hayati Abeid Aman Karume
Mwasisi namba mbili wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuunda Taifa la
Tanzania
Post a Comment