Mhe.
Sophia Simba akipewa maelezo na Bill Marwa kuhusiana na tovuti rasmi
iliyotengenezwa maalumu kwa ajili ya kupaza sauti ya mwanamke (www.sautiyamwanamke.org)
baada ya kuizinduwa kwenye uzinduzi wa Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake
unaofanyika Dodoma. Waliosimama kushoto kwa waziri ni Teresa Yates na Hilda
Mashauri viongozi wa mtandao wa jinsia wa asasi za kiraia (CSO Gender
Coalition) waandaaji wa mdahalo huo.Tovuti hiyo itatumika kutoa taarifa za kila
siku za mdahalo na kuendelea kupaza sauti ya mwanamke baada ya mdahalo kwa
kuandika habari mbalimbali zinazohusu mwanamke.
Baadhi
ya Wanawake wanaoshiriki Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake. Mdahalo wa Kitaifa wa
wanawake ni tukio linalofanyika kwa hisani ya mtandao wa jinsia wa asasi za
kiraia (CSO Gender Coalition) kuanzia tarehe 10-14 April, 2013 mkoani
Dodoma.Baadhi

DodomaMshiriki
kutoka Unguja akizungumza kwa niaba ya wanawake takribani 300 wanaoshiriki
mdahalo wa kitaifa wa wanawake uliozinduliwa leo Dodoma na Mhe. Sophia Simba
(MB) Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake, Jinsia na Watoto.
Dr. Rehema Nchimbi, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma akimkaribisha mgeni rasmi Mhe. Sophia Simba (MB) Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake, Jinsia na Watoto kwa ajili ya kufungua rasmi mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake.Mwanahamisi Salim, Meneja wa Kampeni, Ushawishi na Utekelezaji wa Haki za Kiuchumi kutoka shirika la Oxfam akiendesha zoezi la ufunguzi wa Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake unaofanyika katika ukumbi wa Chimwaga Mjini Dodoma.Teresa Yates, Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Tanzania akikabidhi zawadi kwa Mhe. Sophia Simba (MB) Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake, Jinsia na Watoto na kwa Dr. Rose Nchimbi, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.

Post a Comment