Waziri Mkuu
Mstaafu, Edward Lowassa akipokea tuzo kutoka kwa Askofu wa Kanisa la Overcomers,
Dk Boaz Sollo alipohudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa hilo na kituo cha redio
mkoani Iringa
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akipokea tuzo kutoka kwa Askofu wa Kanisa la Overcomers, Dk Boaz Sollo alipohudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa hilo na kituo cha redio mkoani Iringa. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Christine Ishengoma
Waziri Mkuu
Mstaafu, Edward Lowassa (wapili kulia) akishirikiana na wabunge kuwimba nyimbo
za dini wakati akiongoza harambee ya ujenzi wa Kanisa la Overcomers na kituo cha
redio cha kanisa hilo mjini Iringa jana. kutoka kushoto ni Mbunge wa Mufindi
Kusini, Menrad Kigola, Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Ritha Kabati, Mbunge wa
Mwibara, Kangi Lugola na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe





Post a Comment