 |
| Mwakilishi wa Mkuu wa mkoa wa mbeya
Ndugu Costantine Mushi. |
 |
| mwakilishi wa Mkuu wa mkoa wa mbeya
Ndugu Costantine Mushi. akizindua michuano
hiyo |




 |
Michuano ya
mei mosi kitaifa katika uwanja wa kumbukumbu sokoine jijini mbeya imeendela
kushika ambapo hii leo michezo mbalimbali imefanyika uwanjani hapo baada ya kufunguliwa rasmi na mwakilishi wa
Mkuu wa mkoa wa mbeya Ndugu Costantine
Mushi.
Katika michezo
ya awali kwa upande wa wanaume ilikuwa ni kati ya Wizara ya Mambo ya ndani
pamoja na Wizara ya Mali asili.
Matokeo ya
mchezo huo Timu ya Mambo ya Ndni imefanikiwa kuibuka kidedea kwa kuicharanga
goli 3 kwa mbili timu pinzani.
Katika dk ya
22 maliasili walifanikiwa kuandika bao la kwanza kupitia kwa mchezaji wao Hamisi
Changánda mara baada ya kupkea pasi kutoka wingi ya
kulia.
Katika kpindi hicho cha kwanza wapinzani wao
ambao ni Mambo ya ndani walisawazisha bao hili katika dk 38 kwa mchezaji westoni
mwanjala kwa kichwa ambapo mpaka mchezo huo unakamilika katika kipindi cha
kwanza timu zote zilikwenda
suruhu.
Hata hivyo
kipindi cha pili mpambano ulikuwa mkali kwani timu zote zilikuwa na kasi kubwa
kwani dk ya .47 Andrew Bundara wa mambo ya nadani aliandikia timu yake bao la
pili ambapo katika dk ya 60 Hamisi
Nyagawa aliipachikia timu yake ya Maliasili bao la
kusawazisha.
Mambo ya ndani
waliendela kulindama lango la wapinzani wao na kufanikiwa kuandika bao la 3 na
la ushindi kupitia kwa mchezaji wao hatari Westoni Mwanjala ambaye nfdite
aliyekuwa kinara wa mapmbano huo kwa kuiandikia timu yake ya mambo ya ndani bao
3 katika kipindi chote cha dk 90 za mchezo.
Michezo mwingi
ne wa pete kati ya CDA ya Dodoma pamoja Hazina Dar es salaam matokeo ni
,,,,,,,,,,,,CDA 31 Hazina 12…………Ulinzi ya Dar 38 Uhamiaji 17
.
Katika mchezo
wa kuvuta kamba Hazina wanaume walishindwa nguvu na Uhamiaji.
MBEYA YETU
|
on Friday, April 19, 2013
Post a Comment