Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WANAJUMUIYA YA MUCE WAPATIWA MAFUNZO YA UZIMAJI MOTO


 
069 e0b4c
Insp. Kennedy Komba Mkuu wa kituo cha zimamoto Iringa akitoa mafunzo ya uzimaji moto wa awali kwa wanafunzi na wafanyakazi mbalimbali katika chuo kikuu cha mkwawa

083 61fab
Mmoja wa askari wa jeshila zimamoto mkoani iringa akielekeza namna ya kuzima moto kwa kutumia Kifaa cha kuzimia moto (fire extinguisher) Chuoni mkwawa.


100 b1b37
Zurufa Adamu muhudumu katika ofisi za Chuo kikuu cha Mkwawa akifanya majaribio ya uzimaji moto katika kuhitimisha mafunzo ya siku tatu waliopatiwa.

108 ee58d
Insp. komba akielekeza namna ya kuzima moto sehemu ya wazi na mbinu zake.

109 25930
Zoezi la uzimaji moto likiendelea. Chanzo: Said Ng'amilo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top