Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Alhaji Said El Maamry (kulia) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika jana Alhamisi (April 18, 2013) katika ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Wajumbe wa Tume, Omar Sheha Mussa, John Nkolo na Abubakar Ali.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Alhaji Said El Maamry (kulia) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika(Al hamisi April 18, 2013) katika ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Wajumbe wa Tume, Bi. Riziki Mngwali na Kibibi Hassan.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Salma Maoulidi (kulia) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika jana (Alhamisi April 18, 2013 )katika ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kulia ni Wajumbe wa Tume, Bi. Fatma Ali, Jesca Mkuchu na Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume, Bw. Said Nzori.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Joseph Butiku (katikati) akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kilichofanyika jana (Alhamisi April 18, 2013) katika ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mjumbe wa Bw. Simai Mohammed na Prof. Mwesiga Baregu.(PICHA NA TUME YA KATIBA).






Post a Comment