Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MKUTANO WA WADAU KUHUSUKANUNI ZA MATUMIZI SALAMA YA BAIOTEKNOLOJIA YA KISASA



_DSC0257
 
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava akifungua Kikao cha wadau kuhusu kanuni za matumizi salama ya Bioteknolojia ya kisasa, kikao kilihusisha wanasanyansi, wanasheria, Mtandao wa wakilishi wa wakulima na Taasisi za Mbegu.
_DSC0265
 
Baadhi ya Wadau wakifuatilia mjadala, katika kikao kazi kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo. _DSC0280
 
Wadau wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu Eng. Ngosi Mwihava mara baada ya ufunguzi wa Kikao kazi cha wadau kuhusu kanuni za matumizi salama ya Baiotoknolojia ya kisasa kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Makamuwa Rais Mtaa wa Luthuli JijiniDar es Salaam.{Picha na Ali Meja] _DSC0283
 
Naibu Katibu Mkuu Eng. Ngosi Mwihava (Kulia) akibadilishana mawazo na Dr. Alois Kullaya kutoka Kituo cha Utafiti cha Mikocheni mara baada ya kufungua kikao cha kanuni za Matumizi salama ya Baiotoknolojia ya kisasa[Picha na Ali Meja]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top