Mtuhumiwa
wa Mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Minara Miwili
mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) akiongozwa na Askari polisi kuingia
katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kusikiliza kesi inayomkabili. (Picha zote na
Haroub Hussein)
Mtuhumiwa wa Mauaji ya Padri
Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Minara Miwili mjini Zanzibar, Omar
Mussa Makame (35) akiwa katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kabla ya kesi yake
kutajwa mahakamani hapo.
Mtuhumiwa wa Mauaji ya Padri Evarist Mushi wa
Kanisa Katoliki Parokia ya Minara Miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35)
akiwa katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kabla ya kesi yake kutajwa mahakamani
hapo.
Mawakili
wanaomtetea Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri , Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki
parokia ya minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) wakili Abdalla
Juma (kulia) na Rajab Abdalla wakipitia majalada kabla ya kutajwa kwa kesi ya
mteja wao katika mahakama Kuu Vuga mjini Zanzibar.
credits: Francis Dande
Post a Comment