Mwanzilishi
wa ShuleDirect, FarajaNyalandua akitoa Maelezo mafupi

Naibu Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo akizindua tovuti ya www.shuledirect.co.tz itakayosaidia
kuboresha utoaji wa huduma za elimu hapa nchini. Uzinduzi huo ulifanyika jijini
Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo aakifurahia jambo muda mfupi baada ya
kuzindua tovuti ya www.shuledirect.co.tz itakayosaidia
kuboresha utoaji wa huduma za elimu hapa nchini. Uzinduzi huo ulifanyika jijini
Dar es Salaam.

Mwanzilishi
wa ShuleDirect, FarajaNyalandu akifurahia jambo muda mfupi baada ya Naibu Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo kuzindua tovuti ya www.shuledirect.co.tz itakayosaidia
kuboresha utoaji wa huduma za elimu hapa nchini. Uzinduzi huo ulifanyika jijini
Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo akizindua tovuti ya www.shuledirect.co.tz itakayosaidia
kuboresha utoaji wa huduma za elimu hapa nchini. Uzinduzi huo ulifanyika jijini
Dar es Salaam.

Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro
Nyalandu ambaye ni mume wa Mwanzilishi wa wa
ShuleDirect, FarajaNyalandu akitoa hotuba fupi 

Mwanzilishi wa
ShuleDirect, Faraja Nyalandu akiwa na Mumewe Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro
Nyalandu

Sehemu ya Wadau mbalimbali waliohudhuria Uzinduzi wa
ShuleDirect

Mwanzilishi wa ShuleDirect Faraja Nyalandu akiwa katika picha ya
pamoja na rafiki yake.Picha Zote Zimeletwa hapa na Faraja Nyalandu na
Iku Lazaro

Post a Comment