Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akiingia katika ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini
Zanzibar,katika kikao cha Wizara ya Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati,katika
utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo kilichofanyika jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Makaazi na
Nishati, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano
Ikulu Mjini Zanzibar,( kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif
Hamad
Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali
katika Wizara ya Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati,wakiwa katika ukumbi wa mikutano
Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo,kinachoongozwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa
katika mpangilio wa Rais, kuzungumzia utekelezaji wa kazi za kila
Wizara.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
Post a Comment