Rais Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete akifunga semina kwa mawaziri na makatibu wakuu walioketi
na kupanga mikakati ya utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji,
ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo katika ukumbi wa St Gaspar mjini
Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa kwa kutumia uzoefu wa Performance
Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya Malaysia. Mfumo huu utajumuisha
uanzishwaji wa taasisi ya President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya
kazi kwa karibu na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango.
Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs) utafanyika ili
kuandaa programu za utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Awamu ya kwanza ya labs ilizinduliwa rasmi na Rais Kikwete tarehe 22 Februari, 2013 na kukamilika Aprili, 2013. Maeneo ya awamu ya kwanza ya labs yanahusisha elimu, kilimo, nishati, mapato, maji na miundombinu ya uchukuzi.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt
Mohamed Gharib Bilali na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe Ombeni Sefue wakiweka saini
kama wadhamini wa waraka wa kujifunga
katika utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji na
tathmini ya miradi ya maendeleo uliokabidhiwa kwa wizara hizo sita
katika semina
elekezi kwa mawaziri na makatibu wakuu iliyofanyika ukumbi wa
St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa kwa kutumia
uzoefu wa Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya Malaysia. Mfumo
huu utajumuisha uanzishwaji wa taasisi ya President’s Delivery Bureau (PDB)
ambayo itafanya kazi kwa karibu na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo
huu, uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs)utafanyika ili kuandaa programu za
utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Rais Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa semina kwa mawaziri na makatibu wakuu
kujadili mikakati ya utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji,
ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo katika ukumbi wa St Gaspar mjini
Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa kwa kutumia uzoefu wa Performance
Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya Malaysia. Mfumo huu utajumuisha
uanzishwaji wa taasisi ya President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi
kwa karibu na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa
kina wa kimaabara (labs) utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa
miradi ya maendeleo. Awamu ya kwanza ya labs ilizinduliwa rasmi na Rais Kikwete
tarehe 22 Februari, 2013 na kukamilika Aprili, 2013. Maeneo ya awamu ya kwanza
ya labs yanahusisha elimu, kilimo, nishati, mapato, maji na miundombinu ya
uchukuzi.
Mawaziri
wa Fedha, Kilimo, Uchukuzi, Maji, Nidhati na Madini na Elimu wakiweka
saini waraka wa kujifunga katika utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia
utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo uliokabidhiwa kwa
wizara sita hizo sita baada ya semina elekezi kwa mawaziri na makatibu wakuu
iliyofanyika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza
kutekelezwa kwa kutumia uzoefu wa Performance Management and Delivery Unit
(PEMANDU) ya Malaysia. Mfumo huu utajumuisha uanzishwaji wa taasisiya
President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na Ofisi ya
Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs)
utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Awamu ya
kwanza ya labs ilizinduliwa rasmi na Rais Kikwete tarehe 22 Februari, 2013 na
kumalizika mwezi huu wa Aprili, 2013. Maeneo ya awamu ya kwanza ya labs
yanahusisha elimu, kilimo, nishati, mapato, maji na miundombinu ya
uchukuzi.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt
Mohamed Gharib Bilali na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe Ombeni Sefue wakiwa na
mawaziri na makatibu wakuu wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya
Malaysia Dkt Idris Jala wakti wa
kuujadili mfumo mpya wa kusimamia
utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo uliokabidhiwa kwa
wizara hizo sita katika semina
elekezi kwa mawaziri na makatibu wakuu iliyofanyika ukumbi wa
St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa kwa
kutumia uzoefu wa PEMANDU, ambapo utajumuisha uanzishwaji wa taasisi ya President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na
Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa
kimaabara (labs) utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa benki ya NBC Bw. Lawrence
Mafuru akitoa majumuisho ya uchambuzi wa
kina wa kimaabara (labs) wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji,
ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo katika semina elekezi kwa
mawaziri na makatibu wakuu iliyofanyika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.PICHA NA
IKULU
Post a Comment