WaziriMkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika
mazungumzo kati yake na Mbunge wa Sumve, Richard Ndassankwenye viwanja vya Bunge
Mjini Dodoma Aprili 12, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Mbunge
wa Mwibara, Kangi Lugola kwenye viwanja vya Buge Mjini Dodoma Aprili 12,
2013. Waziri Mkuu, Mizego Pinda akiteta na wabunge Kangi Lugola
wa Mwibara (kulia) na Leticia Nyerere wa Viti Maalum kwenye viwanja vya Bunge
Mjini Dodoma Aprili 12, 2013.
Waziri Mkuu, Mizego Pinda akiteta na wabunge Kangi
Lugola wa Mwibara (wapili kulia) na Leticia Nyerere wa Viti Maalum (kushoto)
na Agustino Masele wa Mbogwe (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
Aprili 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Post a Comment