Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ROADSHOW KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YAENDELEA KATIKA JIJI LA SHANGHAI CHINA


1
Mkurugenzi wa Idara ya Utalii Ibrahimu Mussa (kulia) akihojiwa na mwanahabari jijini Shanghai wakati wa Roadshow iliyofanyika jijini hapo kutangaza utalii wa Tanzania. Katikakti ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nuru Millao
2
Sehemu ya wakazi wa Shanghai wakifuatilia mada katika roadshow hiyo.
3
Maafisa kutoka Tanzania (kutoka kushoto) Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Dk. Aloyce Nzuki; Meneja Sheria wa Mamlaka ya Ngorongoro Egidius Mweyunge; Meneja Huduma za Utalii wa TANAPA Johnsone Manase na Mkurugenzi wa Idara ya Utalii Ibrahimu Mussa wakiwa katika roadshow hiyo jijini Shanghai.

4
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nuru Millao akifungua roadshow jijini Shanghai.
5
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Dk. Aloyce Nzuki akiwasilisha mada kuhusu Utalii wa Tanzania kwa wakazi wa Shanghai China.
6
Baada ya uwasilishaji wa mada Watanzania hawa walijumuika kuimba pamoja wimbo wa TANZANIA YETU NCHI YENYE FURAHA mbele ya halaiki ya wakazi wa Shanghai China.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top