Waziri wa
Fedha Mhe Dkt. Wiliam Mgimwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia
Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakijadiliana jambo
kabla ya kusaini mikataba hiyo.
Waziri wa
Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa wakibadilishana mkataba na Mwakilishi Mkazi wa
Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe
Dongier.
Waziri wa Fedha Mhe Dkt.
Wiliam Mgimwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda,
Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakitia saini mikataba
hiyo.
Waziri wa Fedha Mhe Dkt.
Wiliam Mgimwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda,
Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakijadiliana jambo kabla ya kusaini
mikataba hiyo.
Ujumbe wa Tanzania
waliohudhuria utiaji saini mikataba hiyo mitatu.
Kutoka kushoto ni Mkuu
wa Kitengo cha Sheria Bi. Susan Mkapa pamoja na wanasheria wa Benki ya Dunia
wakifuatilia kwa makini wakati Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mgimwa pamoja
na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw.
Philippe Dongier wakitia sahii mikataba hiyo.
Waziri wa Fedha Mhe.
Dkt. Wiliam Mgimwa akipeana mkono na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia
Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier kwa tabasamu mara
baada ya kumaliza kutia saini mikataba hiyo. Picha na Ingiahedi Mduma na Eva
Valerian – Washington DC Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yapokea shilingi bilioni 314 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya kusaidia miradi ya Umeme, Gesi, Bajeti ya Serikali pamoja na kuwajengea uwezo wa kuendesha miradi ya gesi. Mkataba huo umesainiwa leo na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt Wiliam Mgimwa Waziri wa fedha, pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier Mjini Washington DC


Post a Comment