Mh.Balozi Ramadhan
Mwinyi ndiyo alikuwa mgeni mharikwa katika sherehe hizo za maadhimisho ya miaka
49 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika jijini New York. Sherehe
hiyo ilihudhiliwa na watanzania wengi kutoka katika miji ya jilani na New York
kama New Jersey, Delaware, Massachusetts na Connecticut. Watanzania waliungana
kwa pamoja kwa kula chakula na kucheza music sambamba na vinywaji
baridi.
Katibu wa jumuiya ya
watanzania New York bwana Shaban Mseba akisoma risala katika sherehe hizo za
muungano
Mwenyekiti wa jumuiya Hajji
Khamis akiongea machache mbele ya watanzania waliojitokaza katika sherehe hizo
zilizofanyika New York katika kitongoji cha New Rochelle.
Dr Chemponda alikuwa nae
kama anavyoonekana katika picha akiongea machache juu ya jinsi gani anavyo ujua
muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Mama Ashura Duale nae
anaujua sana muungano wa Tanganyika na Zanzibar na alikuwa mmoja ya washuhuda wa
uchanganyaji mchanga wa pande zote mbili za Tanganyika na
Zanzibar
Hii ndiyo cake ya muungano
ikiwa mezani
Ukodak wa pamoja katia ya
Dr Chemponda, kushoto mama Ashura katikati, na kushoto kwa mama Ashura ni mama
mwenye nyumba wa Mh. Balozi Mwinyi, Na kulia na Mh. Balozi
Mwinyi
Ukodak mbele ya
cake
Mh. Balozi akikata Cake
tayari kwa kuwalisha wana muungano walio jitokeza katika sherehe
hizo
Mh. Balozi Ramadhani Mwinyi
akimrisha kipande cha cake mama mwenye nyumba wake kabla ya watu wengine
awajapata nafasi hiyo. Kwa picha zaidi ya sherehe hizo zilizofanyika katika jiji
la New york
Post a Comment