Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof. John Nkoma akifafanua
jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Kongamamo la wanafuzi kike kusherehekea siku
ya mtoto wa kike na
TEHAMA (Girls in ICT Day). Jumla ya shule sita zilishiriki katika kongamano hilo
lililoandaliwa na TCRA na kufanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Habari
Mseto Blog)
Mkurugenzi
wa Tume ya Sayansi, Dk. Hassan Mshinde akizungumza na waandishi wa habari wakati
wa kongamano hilo.
Baadhi ya
wanafunzi waliohudhuria kongamano hilo wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi
(hayupo pichani)
Post a Comment