Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UHABA WA DAWA UNASABABISHWA NA WIZI MKUBWA WA DAWA KATIKA HOSPITALI ZETU NA SIO MSD

 

Mganga Mkuu Mkoa wa Singida Dakta Doroth Kijugu akitoa mada yake katika semina ya wadau wa huduma za dawa kuhusu mfumo wa Direct Deliver -DD iliyofanyika mjini Iringa kuhusu wizi wa dawa katika Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati hapa nchini, Semina hiyo iliandaliwa -MSD

Mhariri wa Dira ya Mtanzania Saleh Mohamed akisisitiza jambo katika mada ya Utafiti wa Waandishi wa habari kuhusu mpango wa MSD wa DD. Waandishi wengine ambao wameshiriki katika kuandaa mada hiyo ni pamoja na Florence Majani wa Mwananchi na Shabani Tolle wa ITV.
Picha ya juu na chini ni washiriki wa semina ya wadau wa huduma za dawa wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa semina hiyo Bw. Edward Terry Director Zonal Operations katikati mwenye miwani.

Baadhi ya wafanyakazi wa MSD wakiwa katika maonyesho madogo ya vifaa vinavyotolewa na MSD.
Pichani kulia ni kitanda cha kujifungulia. Zahanati nyingi hususani za vijijini zina tatizo la ukosefu wa vitanda hivyo.
Mwakilishi wa MSD Bw. Celestine Haule akijibu baadhi ya maswali ya washiriki wa semina ya wadau wa huduma za dawa katika semina ya DD ambayo imeandaliwa na MSD mjini Iringa.
Waandishi wa habari Florence Majani (kulia) na Saleh Mohamed wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zinazoendelea kutolewa katika semina ya wadau wa huduma za dawa mjini Iringa.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top