Mwenyekiti wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi
Tanzania (TACAIDS) Dr. Fatma Mrisho (katikati) akimkabidhi Bi.Khadija Mwanamboka
-Mwenyekiti Wa Tanzania Mitindo House (TMH) Barua ya kutambua mchango wao wa
Kupiga Vita Ugonjwa wa Ukimwi nchini na kusaidia Watoto yatima wanaoshi na
Virusi vya Ukimwi. Kushoto ni Kamishna wa TACAIDS Bi.Faraja Kotta Nyalandu


Post a Comment