Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Tamasha la Exel with Grand Malt lazinduliwa jijini Dar


Meneja masoko wa kampuni ya bia Tanzania (TBL), Fimbo Buttala akizungumza na  wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya mkoa wa Dar es salaam kwenye Tamasha la uzinduzi wa kampeni ya kinywaji cha Grand Malt ya kuwashindanisha  wanafundi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja  fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with Grand Malt, tamasha hilo  lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Arthi mkoani Dar es salaam  jana.
Mratibu wa tamasha la Exel With Grand Malt,Victor Ndunguru akiongoza ujumbe wa  kukagua timu za mpira wa miguu za Chuo kikuu DUCE na chuo kikuu cha Dar  es salaam kwenye bonanza hilo lililoshirikisha wanafunzi wa vyuo  mbalimbali vya mkoa wa Dar es salaam kwenye Tamasha ka uzinduzi wa  kampeni ya kinywaji cha Grand Malt ya kuwashindanisha wanafundi ili
kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu  ijulikanayo kama Exel with Grand Malt,Timu ya chuo kikuu Dar Es Salaam
ilishinda kwa 3-1 tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo  kikuu Arthi mkoani Dar es salaam
Msanii wa musiki wa kizazi kipya nchini Joh Makini akiwapagawisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya mkoa wa Dar es salaam kwenye Tamasha ka uzinduzi wa kampeni ya kinywaji cha grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili  kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu  ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika  viwanja vya chuo kikuu Arthi mkoani Dar es salaam.
CREDITS: LUKAZABLOG
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top