
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Said Ali Mbarouk, akikaguwa uwanja wa michezo
Gombani , Pemba

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Said Ali Mbarouk, akikaguwa baadhi ya magofu ya
mkamandume pujini , alipkuwa na ziara ya kikazi ya wizara yake mpya ziara kama
hizi kwa viongozi wakuu wa serikali katika taasisi wanazoziongoza zinachochoa
uwajibikaji kwa watendaji.Picha zote na Bakari Mussa,
Pemba


Post a Comment