Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UCHAGUZI WA MFANYAKAZI BORA OFISI YA RAIS -MUU


DSC_1881
 
Mfanyakazi bora wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma wa mwaka
2013 Bibi. Prisca Lwangili (aliyesimama) wa Idara ya Utawala katika
Utumishi wa Umma akiwashukuru watumishi wa ofisi hiyo mara baada ya
kuchaguliwa katika uchaguzi uliofanyika jana.j
DSC_1807
 
Watumishi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakimsikiliza
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi Rasilimaliwatu Bw. Aloyce
Msigwa (hayupo pichani) alipokuwa akitoa maelekezo ya namna ya kushiriki
kumchagua mfanyakazi bora wa mwaka 2013 wa ofisi hiyo uliofanyika jana
DSC_1882Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Ofisi ya

Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Aloyce Msigwa akizungumza na
watumishi wa ofisi hiyo wakati wa kikao cha kumchagua mfanyakazi bora wa
mwaka 2013 kilichofanyika jana.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top