WIZARA YA
UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA
KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 06/04/2013.
[[Mikoa ya Dodoma na
Singida ]:
[Mikoa ya Kigoma, na
Tabora]:
|
|
Hali ya mawingu ,mvua na
ngurumo kwa baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
|
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Rukwa ,Mbeya na
Iringa]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi mvua
na ngurumo
kwa maeneo machache na
vipindi vya jua
|
[Mikoa ya Morogoro na
Ruvuma]:
|
|
Hali ya mawingu, mvua
na ngurumo katika
maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
|
[Mikoa ya Dar es
Salaam,Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na
Mtwara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
mvua katika maeneo
machache na vipindi vya
jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA
MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
25°C
|
12:44
|
D'SALAAM
|
32°C
|
12:33
|
DODOMA
|
29°C
|
12:47
|
KIGOMA
|
29°C
|
01:11
|
MBEYA
|
25°C
|
12:56
|
MWANZA
|
27°C
|
12:58
|
TABORA
|
29°C
|
12:59
|
TANGA |
32°C
|
12:34
|
ZANZIBAR
|
33°C
|
12:33
|
PEMBA
|
32°C
|
12:29
|
MOROGORO
|
31°C
|
12:35
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa
Pwani
yote.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa
kiasi.
Matazamio kwa
siku ya Jumamosi 06/04/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 06/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA
TANZANIA.
Post a Comment