WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 13/04/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro kaskazini ]:
|
Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika
baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
| |
[Mkoa wa Morogoro kusini (Mahenge)]:
[Mikoa ya Lindi, Rukwa na Mtwara]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
| |
[Mikoa ya Mbeya, Iringa na Ruvuma]:
|
Hali ya mawingu kiasi na mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
ANGALIZO: Vipindi vifupi vya mvua kubwa vinatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara , Singida,Shinyanga, Kigoma ,Tabora, Mwanza, Mara, Kagera, Dar es salaam, Pwani, Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
25°C
|
12:36
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12::23
|
DODOMA
|
28°C
|
12:37
|
KIGOMA
|
24°C
|
12:02
|
MBEYA
|
26°C
|
12:45
|
MWANZA
|
27°C
|
12:50
|
TABORA
|
25°C
|
12:50
|
TANGA |
31°C
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:23
|
PEMBA
|
31°C
|
12:23
|
MOROGORO
|
32°C
|
12:21
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini; kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa pwani ya kusini.
Hali ya bahari:Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi hadi makubwa.
Matazamio kwa usiku wa leo Jumamosi 13/04/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 13/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Post a Comment