KUSHOTO:
Padri William akimbusu mkewe, Beverley. KULIA: Kanisa la Mt. Clara ambamo Padri
huyo alibambwa akifanya uchavu wake kwa binti wa miaka
17.
Padri mmoja wa kanisa
Katoliki ambaye alifunga ndoa kwa siri amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela
jana kwa kumsumbua msichana mdogo kwa kile jaji alichoelezea 'uvunjifu mkubwa wa
uaminifu'.
William Finnegan,
akifahamika kama 'Fadha Bill', alimpapasa binti huyo mwenye miaka 17 chini na
kulazimisha kumbusu kwa nguvu katika Kanisa Katoliki la Mt Clara mjini Bradford
siku ya Jumapili ya Pasaka mwaka jana.
Jaji Roger Thomas
alisema kwamba Padri huyo mwenye miaka 60, alikiri wakati wa kesi hiyo kwamba
alifunga ndoa kwa siri miaka 14 iliyopita.
Pia alitumia
maneno makali kwa wanaparokia wa Finnegan ambao walikuwa upande wake licha ya
mashitaka hayo, akisema: "Pengine baadhi yao wanaweza kuamini kesho jua
litachomoza magharibi kesho kama akisema hivyo."
Thomas
aliongeza: "Kwangu inaonekana hawezi kuinua sura yake kwa haya
aliyofanya.
"Sifahamu nini
kilichomsukuma lakini pengine ni kwa sababu hawezi kumudu kupoteza sura zote
hizi na kuwa katika hali ya aibu mbele ya wote ambao wanamuunga
mkono."
Finnegan,
ambaye alikuwa amesimamishwa upadri kufuatia madai hayo na sasa hatoweza
kuruhusiwa kurejea kwenye shirika hilo, alitiwa hatiani na baraza katika
mahakama ya Bradford mwezi uliopita.
Wakati wa
kesi, alisisitiza hawezi kuwa mdudu wa ngono kutokana na kuwa na ndoa yenye
furaha baada ya kuvunja kwa siri kiapo chake kwa kumuoa Beverley Dawson mwaka
1999.
Wawili hao
walifunga ndoa nchini Cyprus baada ya kuwa wamekutana katika parokia yake ya
zamani huko Castleford, West Yorkshire, ambako bado anaendelea
kuishi.
Akitoa
ushahidi katika kesi hiyo, Beverley alisema kwamba yeye na mumewe hawakuwahi
kuishi pamoja kwa kudumu lakini walionana mara kwa mara, kufanya mahusiano ya
kimapenzi na kwenda mapumzikoni pamoja.
Finnegan,
ambaye alijiunga na kanisa hilo mwaka 1977, 'alivutiwa kimapenzi' na muathirika
huyo, ambaye alitambulishwa mahakamani hapo kama B, na kukiri alikuwa na 'hisia
za kimapenzi' kwa mwanafunzi huyo wa kidato cha sita, alisema
Thomas.
"Jumapili ya
Pasaka, hukuweza kujidhibiti mwenyewe na uliibua vivutio vyako vya kimapenzi kwa
B kwa kufanya kosa hili la shambulio la ubakaji,"
aliongeza.
"Ulisema
kwamba ulimpenda na kwa nguvu ukalazimisha kumkumbatia. Uliweka mkono nyuma ya
kichwa chake na kwa kutumia mkono wako mwingine ukamshika kwa
chini.
"Huku ukiwa
umemshika ukarudia rudia kumbusu mdomoni ambapo B alielezea kama
'
Baadaye
Finnegan alijaribu kumnyamazisha kwa hongo ya 'zawadi nzuri ya siku ya kuzaliwa
baadaye mwaka huo', mahakama ilielezwa, lakini binti huyo aliieleza familia yake
na mtawa huyo
akakamatwa.
KUSHOTO: Padri William akimbusu mkewe, Beverley. KULIA: Kanisa la Mt. Clara ambamo Padri huyo alibambwa akifanya uchavu wake kwa binti wa miaka 17. |

Post a Comment