Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 29 YA KIFO CHA SOKOINE - ARUSHA



MBUNGE WA JIMBO LA SIMANJIRO MHESHIMIWA CHRISTOPHER OLE SENDEKA AKIWA KATIKA MBIO ZA MASHINDANO YA SOKOINE MIN MARATHON.
MBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA MHESHIMIWA GODBLESS LEMA AKIWA KATIKA MBIO ZA MASHINDANO YA SOKOINE MIN MARATHON.
MBUNGE WA ARUSHA MHESHIMIWA GODBLESS LEMA AKIWA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHESHIMIWA EDWARD LOWASA WAKIWA KATIKA MATEMBEZI KABLA YA KUZINDULIWA MBIO ZA MASHINDANO YA SOKOINE MIN MARATHON.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (mwenye tracksuti ya bluu),Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo,Dkt. Fenela Mukangala (wa tano kulia) na Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh. Christopher Ole Sendeka,wakishiriki katika matembezi ya nusu kilomita ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 29 tangu kufariki kwa Waziri Mkuu wa zamani,Marehemu Edward Moringe Sokoine,yaliyofanyika leo huko Kijijini kwao Monduli Juu,Mkoani Arusha.


Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Waziri Mkuu wa zamani,Marehemu Edward Moringe Sokoine,aliefariki miaka 29 iliyopita siku kama ya leo.


Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo,Dkt. Fenela Mukangala akiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Waziri Mkuu wa zamani,Marehemu Edward Moringe Sokoine.


Wake wa Waziri Mkuu wa zamani,Marehemu Edward Moringe Sokoine wakiweka shada la Maua juu ya kaburi la Mume wao.


Mbunge wa Jimbo la Arusha,Mh. Godbress Lema akishiriki mbio za kumuenzi Waziri Mkuu wa zamani,Marehemu Edward Moringe Sokoine zilizofanyika kijijini kwake Monduni Juu,Mkoani Arusha leo.



Baadhi ya vijana wa jamii ya Kimasai wakikimbia mbio fupi za kumuenzi Waziri Mkuu wa zamani,Marehemu Edward Moringe Sokoine,kijijini kwake Monduli Juu,Mkoani Arusha.

MMOJA WA WASHIRIKI WA MBIO ZA MASHINDANO YA SOKOINE MIN MARATHON AKIWA ANARUSHA MKUKI KATIKA MASHINDANO YA KURUSHA MKUKI AMBAPO ALIRUSHA ZAIDI YA MITA AROBAINI.
Picha na habari kwa hisani ya LIHUNDI HALFANI na Father Kidevu
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top