Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWIGULU ALIPUKA BUNGENI ASEMA YUKO TAYARI KUTOA USHAIDI HATA MBINGUNI ..... JIONEE NA VIDEO YA TUKIO LENYEWE LILIVYOKUWA

 

mwigulu nchemba bungeni
  • MWIGULU NCHEMBA:- Dr. SLAA NA MBOWE WAKAMATWE KWA UGAIDI!

  • SPIKA ASHANGILIA NA KUSEMA MKUKI KWA NGURUWE WABUNGE WAMSHANGA.

  • TUNDU LISSU AMSHUSHUA SPIKA KWA KUSEMA SUALA LA MAWASILIANO KUHUSIANA NA KESI YA UGAIDI NA MARAFIKI ZAO HALIPO MAHAKAMANI.

Mwigulu Nchemba ameibuka na kile kilichotarajiwa kwa kuongelea suala la Mkanda wa Lwakatare huku akiwaomba Polisi kuwakamata viongozi wa CHADEMA kwa ugaidi

Akichangia bungeni muda huu Mwigulu Nchemba amesema yupo tayari kutoa ushahidi popote pale hata mbinguni kuthibitisha video ya Lwakatare jinsi alivyoipata, kiongozi wa CHADEMA aliyempa pia yupo tayari.

Amelitaka jeshi la polisi limkamate Mbowe kwa sababu ndiye anayewasiliana sana na LWAKATARE.
Comedy ni pale spika alipofunika kombe mwanaharamu apite kwa kuzima miongozo yote juu aliyokuwa anayasema Mheshimiwa huyo. Kasoro Utaratibu kutoka kwa Mheshimiwa Akunay na huku aki rule very politically.
Awali Mwigulu alisimama na kushambulia CHADEMA na viongozi wake hasa Mbowe kwa kumtaja jina na akisema hawa wote ni magaidi hali iliyopelekea Joseph Selasini aombe utaratibu kumtaka Mwigulu kufuta kauli yake ya kumshambulia Mbowe kibinafsi na kumtaka aache kuongele swala lililo mahakamani. Spika akuchukuwa hatua yoyote lakini pale aliposimama Tundu Lissu na kujibu hoja ya Mwigulu ndipo Spika alipo ibuka na kusema inatakiwa Mahakama ilindwe na kuheshimiwa bila kuingiliwa.
Akijibu hoja ya Spika kwamba masuala yaliyopo mahakamani yaheshimiwe:


“Mheshimiwa Spika, suala la mawasiliano kuhusiana na kesi ya ugaidi na marafiki zao humu ndani halipo mahakamani.”

VIDEO INAYOONYESHA SAKATA LA MWIGULU, LISSU KUHUSU UGAIDI BUNGENI
KWA WALE WALIOKOSA KUANGALIA SAKATA LA MWIGULU, LISSU KUHUSU UGAIDI WANAWEZA KUBOFYA HAPO NA KUJIONEA HILIVYOKUWA.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top