Ikiwa ni miezi minne tu
imepita toka tulipoingia rasmi kwenye mfumo dijitali (digital system) kwa vituo
vya televisheni.. Startimes wamepandisha gharama ya
vifurushi..
Kile kilichokuwa
kinauzwa Tshs. 9,000 sasa kitauzwa Tshs. 10,000..
Kile cha Tshs. 18,000
sasa kitakuwa Tshs. 20,000.. Kile cha Tshs. 36,000 sasa kitakuwa ni Tshs.
40,000.. Itaanza rasmi tarehe 15 April..
TCRA waliahidi mambo
mengi mazuri kwenye mfumo dijitali..Ahadi yao imegeuka na kuwa
ndoto.....
Vifurushi vinapanda
huku huduma ikiwa ni mbovu hasa kwa hawa
Startimes
Post a Comment