Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMANNE APRIL 9-UKIWA NA ANGALIZO HUU HAPA

 



WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO
KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 09/04/2013.


[Mikoa ya Dar es Salaam, na Tanga]:
[Mikoa ya Morogoro na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:
[Mkoa wa Ruvuma]:


Hali ya mawingu kiasi ,mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Mbeya Rukwa,na Iringa]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo
Katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
ANGALIZO: Vipindi vichache vya mvua kubwa vinatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C
12:44
D'SALAAM
33°C
12:33
DODOMA
29°C
12:47
KIGOMA
25°C
01:11
MBEYA
23°C
12:56
MWANZA
24°C
12:58
TABORA
28°C
12:59
TANGA
32°C
12:34
ZANZIBAR
32°C
12:33
PEMBA
31°C
12:29
MOROGORO
30°C
12:35


Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumanne 09/04/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 09/04/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top