Picha zote zinaonesha mandhari ya maporomoko ya mto 
Kimani uliopo kata ya Mfumbi wilayani Makete, watalii wengi huja eneo hilo 
kutalii na kufurahia maporomoko ya mto huo
Hii sehemu ni tulivu na haina usumbufu wa aina yeyote hivyo manaopenda kuja Makete kujionea wenyewe karibuni sana
Hii sehemu ni tulivu na haina usumbufu wa aina yeyote hivyo manaopenda kuja Makete kujionea wenyewe karibuni sana
Credits: Mchome Blog

Post a Comment