Bunge
la Tanzania linatarajia kuanza Kikao chake kesho jumanne tarehe 09.04.2013 mjini
dodoma.Bunge linaanza Kikao chake hicho kesho baada ya wabunge hao kumaliza
vikao vya kamati mbalimbali za bunge Jijini Dar es salaam vilivyoanza takribani
wiki mbili zilizopita.Wabunge hao kabla ya kuanza vikao hivyo walianza kuchagua
Mwenyeviti wa kamati mbalimbali za bunge na kisha kuanza vikao vya kamati pamoja
na kutembelea na kukagua shuguli mbalimbali zilizo katika kamati
husikia.
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda Ambaye ni Kiongozi wa Shuguli za Serikali Bungeni akiongozana
na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rehema Nchimbi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa
ndege wa Dodoma Leo Aprili 8,2013 Tayari kuhudhuria kikao cha Bunge
kinachotarajiwa kuanza Kesho Aprili 9 Mjini Dodoma
Mkoani Morogoro Eneo la Stendi ya mabasi mikoani
msamvu ambapo ni njia panda ya Barabara za mikoa mbalimbali kuwekuwa na msururu
wa magari ya Wahishimiwa wabunge,Mawaziri na manaibu mawaziri pamoja na
viongozi waandamizi wa bunge Wakiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma Tayari
Kuudhuria Kikao hicho kinachoanza kesho.
Post a Comment