Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ALIYEJIRUSHA TOKA GHOROFA LA TISA KARIAKOO, SHIRIMA KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAO MWEKA MKOANI KILIMANJARO

 


MFANYABIASHARA Costa aliyefariki Mei 3 mwaka huu kwa kuanguka kutoka gorofa ya tisa ya Hoteli ya Concord iliyopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam anataraji kuzikwa leo kijijini kwao Mweka Moshi Mkoani Kilimajaro.
Mwili wa Marehemu Shirima (47), ulisafirishwa jana mara baada ya kufanyiwa misa takatifu na kuagwa na ndugu na jamaa Kanisani Kimara Temboni jijini Dar es Saalam.

Marehemu Shirima alikuwa ni mfanya biashara wa Urembo wa akina mama na alikuwa akimiliki maduka kadhaa Kariakoo pia alikuwa akiendelea na Ujenzi wa Jengo la Gorofa maeneo ya Kariakoo.

Marehemu ameacha Mjane na watoto 5. 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top