Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BALOZI FRANCISCO PADILLA NA ASKOFU LEBULU WAWATEMBELEA MAJERUHI WA BOMU JIJINI ARUSHA

 


Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, Josephat Lebulu, akitoa pole kwa majeruhi wa bomu jana , kushoto ni mwakilishi wa Papa hapa nchini, Askofu Francisco Padilla.
Balozi wa Vatican hapa nchini, Askofu mkuu Francisco Padilla akimjulia hali mmoja wa majeruhi alipotembelea hospitali ya mkoa ya Mount Meru jana kwa ajili ya kuwajulia hali majeruhi wa mlipuko katika tukio lililotokea jana wakati wa uzinduzi wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi ,
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top