Kamanda
wa polisi Mkoa wa Dodoma David Misime akionyesha waandishi wa habari
wanyama aina ya kobe zaidiya 70 waliofungwa kwenye mifuko ya Salfet
waliokuwa wamekutwa kwa Moses Nyawaje 42 akiwa anataka kuwasafirisha
kinyume cha sheria.
Loading...
Post a Comment