
Balozi wa Sudani nchini Tanzania, Dr. Yassir M. Ali akisalimiana na
Makamu wa CCM (Bara),Ndugu Philip Mangula

Makamu wa CCM (Bara),Ndugu Philip Mangula akibadilisha mawazo na Balozi wa Sudani nchini Tanzania, Dr. Yassir M. Ali

Balozi wa Sudani nchini Tanzania, Dr. Yassir M. Ali amtembelea leo
Makamu wa CCM (Bara),Ndugu Philip Mangula, Ofisi Ndogo za CCM,Lumumba.Picha na Adam H. Mzee
Post a Comment