Hivi ninyi mafisadi wa ccm na vibaka wake kama huyo aayejiita Said A Said, mtaelevuka lini? Yale yaliyotokea Arusha kwanza ni aibu kwa mafisadi na chama chake cha mafisadi. tunahitaji kwanza kuwafuta kazi wakuu wa mikoa wooooote, wakuu wa wilaya wooote, aana ni domokaya mno. hawako tz kwa ajili ya kuendeleza ustawi wa watz, bali umangimeza tu. mtu kama mkuu wa mkoa wa Arusha ndo balaa kabisa. tangu lini kada wa chama cha mafisadi akaongoza watu vizuri. Watz tunayo mengi sana ya kusema juu ya kile mlichomfanyia mbunge Lema. ninakushangaa kwanza hata unaporopoka utumbo hapa juu ya hayo unayotapika. Watu kama wewe Said ndo wale mliokodiwa na ufisadi ccm(UFCCM na wala si UVCCM) kutapanya propaganda za kifisadi tu. kama huna la kuongea bora uwe msikilizaji tu na msomaji wa makala za watu walio na hekima na busara. ccm isikufanye ukawa mjinga kiasi hiki.unapoendelea kukumbatia viongozi dhaifu, je, mwaka 2015 utakuwa mgeni wa nani wakati mafisadi yatakapoyeyuka ikulu na wizarani? tambua alama na nyakati. huu muda si wa kusikiliza propaganda na uongo wa mafisadi wakiwatumia ninyi akina said kwa ujira wa tende.mtu mzima ovyo?
mie naona kitendo kilichotokea Arusha kwa wanachuo kumzomea mkuu wa mkoa, ni dhahiri kuwa watz wameshawachoka viongozi wa ccm kutokana na matendo yao maovu ya ufisadi na wizi wa mali za taifa. inakera sana kuona viongozi wa serikali ya ccm wakizidi kuiba rasilimali zetu na sisi tunazidi kukonda, huduma mahospitalini zinadoda kila siku, watot mashuleni wankosa elimu bora,kila idara hali mbaya kumbe kwa sababu tu ya watu wachache kuendekeza ufisadi. Lo, sijui niseme nini ili watz wanielewe. mambo haya yanauma.Halafu watz wanapata shida vyuoni, mkuu wa mkoa anaongea kwa kejeli tu utadhani hakufariki mtu! hata kule kufungwa kwa chuo kile ni mwendelezo wa ufisadi tu, maana wale wanafunzi wanazidi kupitwa na msomo kwa kuwa kilishafungwa. na viongozi wetu dhaifu hufunga vyuo vyetu kwa sababu watoto wao na ndugu zao, marafiki zao hawasomi katika vyuo vyetu hivi. ndiyo maana wanakimbilia kufunga vyuo kwani wao hawana hasara. Karibu mwaka 2015 ili watz tujikomboe kutoka katika makucha ya mafisadi
2 comments
Hivi ninyi mafisadi wa ccm na vibaka wake kama huyo aayejiita Said A Said, mtaelevuka lini? Yale yaliyotokea Arusha kwanza ni aibu kwa mafisadi na chama chake cha mafisadi. tunahitaji kwanza kuwafuta kazi wakuu wa mikoa wooooote, wakuu wa wilaya wooote, aana ni domokaya mno. hawako tz kwa ajili ya kuendeleza ustawi wa watz, bali umangimeza tu. mtu kama mkuu wa mkoa wa Arusha ndo balaa kabisa. tangu lini kada wa chama cha mafisadi akaongoza watu vizuri. Watz tunayo mengi sana ya kusema juu ya kile mlichomfanyia mbunge Lema. ninakushangaa kwanza hata unaporopoka utumbo hapa juu ya hayo unayotapika. Watu kama wewe Said ndo wale mliokodiwa na ufisadi ccm(UFCCM na wala si UVCCM) kutapanya propaganda za kifisadi tu. kama huna la kuongea bora uwe msikilizaji tu na msomaji wa makala za watu walio na hekima na busara. ccm isikufanye ukawa mjinga kiasi hiki.unapoendelea kukumbatia viongozi dhaifu, je, mwaka 2015 utakuwa mgeni wa nani wakati mafisadi yatakapoyeyuka ikulu na wizarani? tambua alama na nyakati. huu muda si wa kusikiliza propaganda na uongo wa mafisadi wakiwatumia ninyi akina said kwa ujira wa tende.mtu mzima ovyo?
Replymie naona kitendo kilichotokea Arusha kwa wanachuo kumzomea mkuu wa mkoa, ni dhahiri kuwa watz wameshawachoka viongozi wa ccm kutokana na matendo yao maovu ya ufisadi na wizi wa mali za taifa. inakera sana kuona viongozi wa serikali ya ccm wakizidi kuiba rasilimali zetu na sisi tunazidi kukonda, huduma mahospitalini zinadoda kila siku, watot mashuleni wankosa elimu bora,kila idara hali mbaya kumbe kwa sababu tu ya watu wachache kuendekeza ufisadi. Lo, sijui niseme nini ili watz wanielewe. mambo haya yanauma.Halafu watz wanapata shida vyuoni, mkuu wa mkoa anaongea kwa kejeli tu utadhani hakufariki mtu! hata kule kufungwa kwa chuo kile ni mwendelezo wa ufisadi tu, maana wale wanafunzi wanazidi kupitwa na msomo kwa kuwa kilishafungwa. na viongozi wetu dhaifu hufunga vyuo vyetu kwa sababu watoto wao na ndugu zao, marafiki zao hawasomi katika vyuo vyetu hivi. ndiyo maana wanakimbilia kufunga vyuo kwani wao hawana hasara. Karibu mwaka 2015 ili watz tujikomboe kutoka katika makucha ya mafisadi
ReplyPost a Comment