Mahakama ya Rufaa imemrudishia Ubunge DK. DALALY PETER KAFUMU -Igunga(CCM).
Mahakama
Kuu Kanda ya Tabora ilimvua Ubunge Dk. Kafumu baada ya madai ya kukiuka
utaratibu wa Uchaguzi wakati wa Kampeni katika Kesi iliyofunguliwa na
Mwl. Joseph Kashindye aliyekuwa Mgombea kwa tiketi ya Chadema.
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora ilimvua Ubunge Dk. Kafumu baada ya madai ya kukiuka utaratibu wa Uchaguzi wakati wa Kampeni katika Kesi iliyofunguliwa na Mwl. Joseph Kashindye aliyekuwa Mgombea kwa tiketi ya Chadema.

Post a Comment