Rapper mkongwe nchini, Joseph Haule aka Profesa Jay amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Profesa amekabidhiwa kadi ya uanachama wa CHADEMA na mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu
The heavy weight MC Proj Jay, aka
Dady, Joseph Haule akipokea Kadi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka
Sugu Muda mfupi uliopita Mjini Dodoma Mara baada ya kujiunga rasmi na
Chadema
Muda si mrefu msanii
maarufu hapa Bongo Profesa Jay (Joseph
Haule) amejiunga na Chama Cha Demokrasi na Maendeleo huko Dodoma na
amekabidhiwa tiketi ya chama cha CHADEMA rasmi na Mbunge wa Mbeya Joseph
Mbilinyi aka Sugu huko Dodoma.
Na
taarifa za Chini ya Kapeti zinasema kuwa Lady Jay Dee pamoja na Mumewe
Gadner G Habash nao wamejiunga na Chama Hicho Cha Chadema.Tunazidi
kutafuta habari hizi za lady Jay Dee na Mumewe kujiunga na Chadema na
tutataarifiana kadri tunavyozidi kuzipata
Post a Comment