Flaviana
Matata akiwa na Baba yake mzazi (suti nyeusi) katika Misa ya
maombelezo Ajali ya MV Bukoba ambapo Flaviana alimpoteza Mama yake
mzazi, Igoma,Mwanza leo
Flaviana
Matata akiwasha mshumaa ikiwa ni ishara ya kuomboleza katika Makaburi
ya Igoma Mwanza walikozikwa baadhi wananchi walopoteza maisha yao miaka
17 iliyopita.
Flaviana
Matata akiwa ofisini kwa Bw. Projest Samson Kaija ambaye ni General
Manager wa Marine Services Company ltd ambao hushirikiana nae kila mwaka
katika maombolezo ya Ajali hii ambapo mwaka jana aliwapa msaada wa
maboya ya kujiokoa
Flaviana Matata akiwa na marafiki na baadhi ya waombolezaji waliopoteza ndugu zao katika ajali hiyo. Picha na Shamim Mwasha
Post a Comment