Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

IRINGA WAZIPOKEA TUZO ZA SAFARI LAGER KWA SHANGWE

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma,
akiwa ameshikilia Tuzo ya Bia ya Safari Lager mara baada ya kuipokea mkoani
kwake mwishoni mwa wiki ikiwa ni ziara maalum ya Tuzo hizo kusherehekea pamoja
na Watanzania Ushindi wa Bia hiyo ya Kitanzania barani Afrika.Ziara ya Tuzo za
Bia ya Safari Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)
ilikuwa Mkoani Iringa.
Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager,
Oscar Shelukindo
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma,
akizungumza na wananchi wa Mji wa Iringa katika Uwanja wa Mwembe Togwa wakati upokeaji Tuzo za Bia ya Safari Lager
mkoani kwake mwishoni mwa wiki ikiwa ni ziara maalum ya Tuzo hizo kusherehekea
pamoja na Watanzania Ushindi wa Bia hiyo ya Kitanzania barani Afrika.Ziara ya
Tuzo za Bia ya Safari Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL) ilikuwa Mkoani Iringa. Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager,
Oscar Shelukindo

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kulia) na Mkoa wa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma wakinyanyua Tuzo za Bia ya Safari Lager ilizoshinda katika mashindano ya Bia Afrika yaliyofanyika nchini Ghana. Tukio hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Mwembe Togwa mjini Iringa wakati wa ziara maalum ya Kampuni ya BiaTanzania (TBL) kuonesha Tuzo ilizoshinda Bia yake ya Safari Lager.

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma,
akiwa ameshikilia Tuzo ya Bia ya Safari Lager mara baada ya kuipokea mkoani
kwake mwishoni mwa wiki ikiwa ni ziara maalum ya Tuzo hizo kusherehekea pamoja
na Watanzania Ushindi wa Bia hiyo ya Kitanzania barani Afrika.Ziara ya Tuzo za
Bia ya Safari Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)
ilikuwa Mkoani Iringa.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top