Joyce Kiwia akitoa ushuhuda wa maisha yake kwa wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali za jijini Dar es Salaam, waliofika katika kongamano la elimu kwa jamii ya kupambana na aina zote za unyanyasaji na udhalilishaji lililoandaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya Shikamana, ambapo hutoa mafunzo mbalimbali kwa vijana wa shule za sekondari, Kongamano hilo limefanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini, leo.

Mratibu na Mwanzilishi wa Taasisi ya Shikamana, Brittany Karima, akitoa hotuba kwa wanafunzi wa shule za sekondari za jijini Dar es Salaaam waliofika katika Kongamano la shikamana, juu ya shughuli wanazofanya, Shikamana ni waletao mabadiliko wanajitolea kutoa elimu kwa jamii ili kupambana na aina zote za unyanyasaji na udhalilishaji.Wamashikamana wanaamini kwamba usawa unahitajika katika mahusiano ya Kimapenzi na katika Jamii kwa ujumla.

Post a Comment