Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LORI LA MAFUTA LADONDOKEA GARI NDOGO BAADA YA KUTOKEA AJALI IKIHUSISHWA NA DALADALA YA ABIRIA JIJINI DAR ES SALAAM


Lori la mafuta likiwa limelidondokea gari ndogo baada ya kutoka ajali katika eneo la Chang'aombe jinini Dar es salaam ikihusisha na daladala ya abiria.
 
 
  Ajali mbaya inayohusisha Lori la Mafuta, Daladala pamoja na Gari aina ya Prado imetokea muda mfupi uliopita maeneo ya Chang'ombe Machinjioni kwenye mataa Jijini Dar es Salaam baada ya dereva wa dalalala ambayo haikuwa na abiria kuingia vibaya katika makutano ya barabara na kusababisha dereva wa lori kugonga daladala na kuangukia Prado hii wakati akijaribu kukwepa kusababisha madhara.
 
 Hakuna mtu yoyote aliyepoteza maisha katika tukio ili isipokuwa majeraha ya kawaida yamewapata madereva husika, Wananchi wameonekana eneo la tukio wakichota mafuta ya mawese yaliyomwagika kutoka kwenye lori lililopata ajali na mpaka sasa hatua zote za tahadhari zimeshachukuliwa
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top